Habari za Punde

Washindi wa Michezo ya Watu Wenye Ulemavu Zanzibar Watinga Baraza laWawakilishi wakiwa na Medali yao

 Watoto wenye Ulemavu wa Akili wakiw katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi kutambulishwa kwa Ushindi wao wa Jumla katika Michuano ya Watu Wenye Ulemavu  yaliofanyika katika Viwanja vya Kibaha Nje ya Mji wa Dar-es-Salaam Wiki iliopita na kuibuka na Ushindi wa Jumla katika michuano hiyo.




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.