Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifungua mafunzo
kwa vyombo vya utekelezaji wa sheria, hoteli ya Zanzibar Ocean View, Kilimani
Zanzibar.
Waziri
wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Aboubakar Khamis Bakar, akizungumza katika
mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakisikiliza kwa
makini hotuba ya mgeni rasmi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim
Seif Sharif Hamad.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi majaji, mahakimu na watekelezaji wengine wa, hoteli ya Zanzibar Ocean View, Kilimani Zanzibar.(Picha na Salmin Said OMKR)
No comments:
Post a Comment