Habari za Punde

Maandalizi ya Mkutano mkuu wa CUF: Maalim Seif akagua Ukumbi

 Jengo la Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza litakalotumika kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa CUF kuanzia tarehe
 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CUF, alipofika Blue Pearl Hotel kwa ajili ya kukagua ukumbi kwa ajili ya mkutano mkuu wa CUF utakaoanza tarehe 23/06/2014.
 Huu ndio ukumbi wetu wa mikutano Mzee, Afisa wa Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza akimuonesha ukumbi huo Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad alipokwenda kuutembelea
Hili ni eneo la mbele la Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza litakalotumika kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa CUF kuanzia tarehe 23/06/2014. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.