Habari za Punde

Mkutano Mkuu w CUF

 Viongozi wakuu wa CUF katika picha ya pamoja na wawakilishi na viongozi wa vyama vya siasa Ubungo Plaza Dar es Salaam.
  Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Lipumba, katika mkutano Mkuu wa Chama hicho Ubungo Plaza Dar es Salaam
 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, katika mkutano Mkuu wa Chama hicho Ubungo Plaza Dar es Salaam.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM Philip Mangula katika mkutano mkuu wa CUF
 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, katika mkutano Mkuu wa CUF,  Ubungo Plaza Dar es Salaam. (picha na Salmin Said, OMKR)
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF, ubungo Plaza Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.