Habari za Punde

Ujenzi wa Barabara ya Weles Waanza baada ya muda mrefu.

                           Gari la maji likitilia maji kifusi ili kuweza kushindiliwa kwa saga mawe
Ujenzi wa barabara ya weles kwenda gongoni yaaza ujenzi wake baada ya kukaa kwa muda mrefu bila ya kuaza ujenzi huo baada ya kuwekwa kifusi,hatimai umeaaza tena kwa ujenzi huo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.