Habari za Punde

Zanzibar Petroleum yapongezwa kwa kutwaa kombe la mazingira

 Meneja wa Zanzibar Petroleum LTD Altaf Jiwan akiwapongeza wachezaji wake kwa kuchukua ubingwa wa Kombe la Mazingira lililoandaliwa na Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar, kwa kuifunga tim ya Wizara ya Fedha kwa mikwaju ya penalti 4 kwa 3.Sherehe hizo zilifanyika Ofisini kwao Mtoni Zanzibar
 Meneja wa Zanzibar Petroleum LTD Altaf Jiwan akionyesha furaha yake kwa kuletewa kombe (kulia) kocha wa tim hiyo Bwa. Ali Hakiba Hassan.
 Wachezaji wa Timu ya Zanzibar Petroleum LTD na wafanyakazi wa Kampuni hiyo katika picha ya pamoja.
Kocha wa Tim ya Zanzibar Petroleum LTD Ali Hakiba Hassan alieshika kombe na kikosi kamili cha Zanzibar Petroleum kilicho twaa ubingwa wa Kombe la Mazingira kwaka 2014/2015.(Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.