AFISA Mdhamini Wizara ya Nchi Afisi ya Raisi Tawala
za Mikoa na Idara Maalum Pemba, Mhe:Saleh Mbarouk Amour, akipata maelekezo ya
Ramani ya jengo la kulala wageni, kutoka kwa Kamanda wa KJU Pemba, Ali Mtumweni
Hamad, wakati alipotembela jengo hilo Gombani Pemba. (Picha na Said Abrahman, KJU Pemba.)
AFISA Mdhamini Wizara ya Nchi Afisi ya Rasi Tawala
za Mikoa na Idara Maalum Pemba, Mhe:Saleh Mbarouk Amour,akiangalia eneo
linalotaka kujengwa madarasa ya kusomeshea Ufundi katika kambi ya JKU Chokocho
Wilaya ya Mkoani Pemba. (Picha na Said
Abrahman, KJU Pemba)
KIJANA wa Mujibu wa sharia katika kambi ya JKU
Msaani, ambae hakufahamika jina lake mara moja, akiwa kenye kidungu akiinga
ndege Mpunga katika bonde la JKU Msaani.
(Picha na Said Abrahman, KJU Pemba.)
No comments:
Post a Comment