Habari za Punde

Jumuiya ya Waislam wa Jumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani Zanzibar wafutarisha


Ikiwa kama ada endelevu kila ifikapo mwezi 27 wa mfungo mtukufu wa ramadhani Siku ya Ijumaa July 25, 2014 Jumuiya ya Waislam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar waliweza kuftari waislamu wa maeneo mbali mbali wa karibu na wakiwemo wakaazi wa Mwembetanga, vikokotoni, pamoja na waMichezani.


Waumini wa kiislamu wakipata iftar iliyoandaliwa na wakaazi wa jumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani Zanzibar

Pichani: Maalim Abuu, sheikh Ali wakipata futari ya pamoja Siku ya Ijumaa July 25, 2014

Ndugu jamaa na marafiki wakipata iftar ya pamoja iliyoandaliwa na Jumuiya ya waIslam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar

Matunda ya shokishoki yaliowekwa kwaajili ya kushushi futari ya mwenzi 27 Jumuiya ya waIslam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar

Chichili wa Mwembetanga (wakwanza kulia) akishushia na chai ya moto ilioandaliwa na  Jumuiya ya Waislam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar


Haji Mtuwa a.k.a hajibwa mtu akipata flashi ya katika futai ya wanajumuiya wa Jumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar





















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.