Habari za Punde

Dk Shein afutarisha Ikulu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi  katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na ramadhan Othman Ikulu.]
 Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akijumuika na weke wa Viongozi mbali mbali akiwemo Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume (wa pili kushoto) katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Sheinkwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
 Akina mama wa  Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika  viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
 Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja wakijumuika katika fuitari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu  Mjini Zanzibar.[Picha na ramadhan Othman Ikulu.]

 Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja wakijumuika katika fuitari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu  Mjini Zanzibar.[Picha na ramadhan Othman Ikulu.]
 Waziri wa   nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame,akitoa shukurani kwa wananchi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa kushiriki   katika futari iliyoandalia kwa wananchi hao wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na ramadhan Othman Ikulu.]
 Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shei,akiagana na   Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume,baada ya kumalizika kwa futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu  Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

 ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na wananchi mbali mbali waliohudhuria katika fuatri aliyowandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika  viwanja vya  Ikulu  Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Akina mama wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana baada ya kumalizika futari aliyowaandalia   katika  viwanja vya  Ikulu  Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]


[PICHA ZOTE NA RAMADHAN OTHMAN


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.