Habari za Punde

Mama Mwanamwema Shein afutarisha SOS Mombasa

 MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Abdallah Mwinyi Khamis, akiwa na watoto wa kijiji cha SOS mombasa wakipata futari ilioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar.
 WATOTO wa Kijiji cha SOS wakipata futari maalum walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, katika makaazi yao mombasa.
 
 WATOTO wa Kijiji cha SOS wakipata futari maalum walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, katika makaazi yao mombasa.
 
 MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, na Viongozi wengi wa Serekali wakijumuika katika futari na Watoto wa Kijiji cha SOS mombasa Zanzibar katika futari hiyo maalum walioandaliwa kwa ajili yao.




 
MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akitowa nasaha zake kwa watoto wa Kijiji cha SOS baada ya hafla ya futari iliofanyika kijiji kwao.(Picha na Othman Maulid)

  MTOTO wa Kijiji cha SOS Zuwena Haji akitoa shukrani kwa niaba ya Watoto wezake wa Kijiji hicho kwa Mke wa Rais wa Zanzibar kwa kuwaandali futari na kujumuika nao katika makaazi yao.
 MTOTO wa Kijiji cha  SOS Lali Amour akisoma dua baada ya kumaliza hafla ya futari iliofanyika katika viwanja vya makaazi yao, ilioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, na kuwakilishwa na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif.
MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akijumuika na Watoto wacKijiji cha SOS Mombasa Zanzibar katika futari ilioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kwa ajili ya watoto hao.

2 comments:

  1. Jamani hizi futari za kisasa , wanaume na wanawake pamoja , inajuzu hii ? Hebu tusiige mambo ya watu halafu tukaita futari

    ReplyDelete
  2. Na hata madrasa na shule zetu pia hazijuzu. Sisi wengine tumesoma hump hadi tumehitimu. Tunafanya Kazi na tunawafundisha na wengine.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.