Habari za Punde

Maofisa habari masomoni China watembelea ofisi za vyama vya waandishi wa habari

 Kiongozi wa Vyama cha Waandishi wa wa Habari China (All -China Journalists Association Executive Secretary)Senior Editor, Gao Shangang, akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka Nchi za Afrika waliofika kutembelea Ofisi hizo na kupata maelezo ya Uendeshaji wa Vyama wa Waandishi wa habar China, wakiwa katika ziara yao ya kimasomo ya wiki mbili mjini Beijing(Picha na Othman Maulid)

 //WAANDISHI wa habari wakimsikiliza Kiongozi Mkuu wa Vyma vya Wafanyakazi akitowa maelezo ya kuhusiana na kazi za umoja huo kwa Waandishi wa habari wa Afrika wanaohudhuria Semina ya Wiki mbili Nchini Beijing China, Jumla ya 11 za Afrika zinahudhuria semina hiyo inayofanyika katika ukumbi wa hotel ya 21Centruy Beijing China(Picha na Othman Maulid Beijing China)

 MAOFISA Habari na Waandishi wa habari kutoka Nchi 11 za Afrika zinazozungumza Kingereza wanaohudhuria Semina ya Wiki mbili Nchini China wakiwa na Bendera za Nchi zao baada ya kutembeleav Ofisi za Vyama vya Habari Mjini Beijing wakipata picha za ukumbusho wa bendera za Nchi zaokatika jengo hilo(Picha na Othman Maulid Beijing China)
MAOFISA Habari na Waandishi wa habari kutoka Nchi 11 za Afrika zinazozungumza Kiingereza wanaohudhuria Semina ya Wiki mbili Nchini China wakiwa na Bendera za Nchi zao baada ya kutembelea Ofisi za Vyama vya Habari Mjini Beijing wakipata picha za ukumbusho wa bendera za Nchi zao katika jengo hilo (Picha na Othman Maulid Beijing China)

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.