Habari za Punde

Balozi Seif asaidia ujenzi wa Tawi la CCm Mombasa kwa Mchina

 Balozi Seif akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni 4,00,000/- Kwa Mwenyekiti wa CCM wa Tawi la Kwamchina Bibi Subira Kahalani Uria kwa ajili ya ununuzi wa mbao zitakazotumika kuezekea Tawi hilo.
 Mwenyekiti wa CCM wa Tawi la Kwamchina Bibi Subira Kahalani Uria akionyesha fedha taslim shilingi Milioni 4,000,000/- zilizotolewa mchango na Mjum be wa NEC Balozi Seif Ali Iddi aliyepo pembeni yake kwenye eneo la Tawi hilo liliopo Mtaa wa Mombasa Kwamchina.

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Tawi la CCM la Mombasa Kwamchina Nd. Ahmada Abdullwakil akitoa maelezo ya ujenzi wa tawi hilo mbele ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi.

Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.