Habari za Punde

Waandishi Watembelea Jengo la Planning Exhibition Hall BEIJING



 MAOFISA wa Habari na Waandishi wa habari wakipiga picha za kumbukumbu za mji wa beijing walipotembelea jengo hilo mjini beijing.(Picha na Othman Maulid Beijing China)
 MWANDISHI wa habari kutoka Zanzibar akiuliza kuhusiana na majengo ya historia ya City Culture Preservation, alipotembelea katika jengo la maonesho ya mpangilio wa mji wa Beijing.(Picha na Othman Maulid Beijing China)

 
MAAFISA Habari na Waandishi wa Habari kutoka Nchi za Afrika wakimsikiliza Mwenyeji wao akitowa maelezo ya Majengo yalioka katika mji wa beijing muda uliochukua kuitengeneza ramani hiyo na jinsi ya mpango wa ujenzi wake.wakati walipofika katika jengo hilo kutembelea na kujionea historia za mji wa Beijing China.(Picha na Othman Maulid, Beijing China)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.