Habari za Punde

Taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkadam Khamis

Taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkadam Khamis
 
Kwa mnasaba wa sherehe za eidul fitr, jeshi la polisi linatoa mwongozo kwa wenye familia na kwa wale wanaotarajia kutembea na watoto wao siku za sikukuu, wawaandikie watoto wao namba za simu za wazazi/walezi   na kuzihifadhi katika mifuko ya mashati au suruali au sehemu nyengine yoyote ili iwarahisishie kazi jeshi la Polisi kuweza kujua mtoto na mzazi/mlezi wake na kuweza kuharakisha mawasiliano kwa haraka

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.