Mshiriki wa mashindano ya kuhifadhi Quran Juzuu 15 Mwanafunzi Masoud Khamis Sultan (12) kutoka Zanzibar mshindi wa Pili ya kuhifadhi Quran juzuu 15, akishirikinkatika mashindano hayo ya kuhidhadhi Quran yaliofanyika Masjid Nour Muhammad Mombasa kwa Mchina.
Watoa Aya wakitoa Aya kwa Wanafunzi washiriki wa mashindano hayo ya kuhifadhi Quran Juzuu 15 na 30, yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhi Quran Zanzibar.
Washiriki wa mashindano ya kuhifadhi Quran wakiwa katika Masjid Nour Muhammad wakisubiri zamu zao kushiriki mashindano hayo.
Mwanafunzi Yunus Suleyman Ali (17) kutoka Zanzibar mshindi wa Nne wa kuhifadhi Quran Juzuu 30 akishiriki katika mashindano hayo yaliofanyika Masjid Nour Muhammad kwa mchina Zanzibar.
Mwanafunzi Kassim Abdallah Juma (17) kutoka Zanzibar mshindi wa nne wa kuhifadhi Quran akishiriki katika mashindano hayo yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhi Quran Zanzibar.
Majaji wakifuatilia mashindano hayo kwa umakini kutowa ushindi kwa mshindi anayesoma vizuri.
Mwanafunzi Said Abeid akipokea zawadi yake ya saa ya ukutano kutoka kwa Ndg Nofal Hemed baada ya kujibu swali aliloulizwa kuhusiana na mafundishi ya Dini ya Kiislam.
Mwanafunzi Ismailn Bai Makame (12) mshindi wa nne kutoka Zanzibar akishiriki mashindano hayo.
Mwanafunzi Ali Tawhiid Ali (14) mshindi wa Nne kutoka Zanzibar akishiriki mashindano hayo ya kuhifadhi quran juzuu 30.
Mwanafunzi Ismail Bakar Ali (19) kutoka Zanzibar
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar Amir Suleiman akitowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam na washiriki wa mashindano ya kuhifadhi Quran baada kumalizika kwa mashindano hayo yaliowashirikisha wanafunzi kutoka Zanzibar na kuwataka Wazazi kushirikiana katika kuendeleza jambo hilo la Watoto kuweza kuhifadhi Quran.,ili kujijengea mustakabal mzuri wa dini yao.
Mgeni rasmin wa mashindano ya kuhifadhi Quran juzuu 15 na 30 Dkt Sueid Ali Sued akitia nasaha zake kwa Wazazi na Walezo wa Wtoto kuwabidiisha katika kukuza Utamaduni wa Kiislam katika kusoma na kuhifadhi Quran na kuwata kujitokeza Wahisani katika kukuza jambo hilo la kuhifadhi Quran kuweza kutowa misaada yao kufanikisha ujenzi wa Chuo cha kuhifadhi Quran katika eneolao lililoko Chwakwa Zanzibar. ili kutowa Wanafunzi wazuri wa elimu ya kuhifadhi Quran Zanzibar.
Jaji Kiongozi wa mashindano ya kuhifadhi Quran akisoma matokea ya mashindano hayo yaliofanyika katika Masjid Nour Muhammad kwa mchina Zanzibar.
Mgeni rasmin Dkt Sued Ali Sued, akimkabidhi zawadi wa kwanza wa kihifadhi Quran juzuu 15 fedha taslim shilingi laki tatu Mwanafunzi Nassir Rashid Seif.
Mgeni rasmin Dkt Sued Ali Sued, akimkabidhi zawadi wa tatu wa kihifadhi Quran juzuu 15 fedha taslim shilingi laki Mbili Mwanafunzi Rashid Hemed Rashid
basi imeshindikana hata kutupa maelezo kidogo kama washindi, majaji, nk?
ReplyDelete