Habari za Punde

Sala ya Eid DMV Maryland, Marekani


Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja katika sala Eid iliyofanyika leo Silver Spring katika msikiti uliopo New Hampshire leo Jumatatu July 28, 2014.
Mwinyikheri Mkwavi akiwa na Dedi Luba wakipata picha baada ya sala ya Eid kuisha katika msikiti uliopo New Hampshire Silver Spring, Maryland.
Watanzania wakijumuika pamoja leo Jumatatu July 28, 2014 katika sala ya Idd iliyofanyika New Hampshire, Silver Spring, Maryland kulia ni Afisa Ubalozi wa maswala ya uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Abbas Missana.
Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Bwn. Suleiman Saleh katika picha ya pamoja na Mwinyikheri Mkwavi. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.