Habari za Punde

Maafisa Habari watembelea majengo ya kihistoria Beijing

 MAJENGO ya historia nchi China Mjini Beijing  ambayo hutembelewa na Wananchi wengi wa china ili kukuza Utalii wa ndani. hutembelea na kupata historia ya majengo hayo ikiwa ni moja ya kukuza  utamaduni. Nao Waandishi wamepata fursa kutembelea sehemu hiyo.  

 MAOFISA habari wakiangalia moja ya majengo yalioka katika kijiji hicho cha historia mjini beijing china.
 MAOFISA habari wakipiga picha ya kumbukumbu katika moja ya maelezo ya jengo lilioma katika eneo hilo hutembelewa na Wananchi wengi na kupata historia yake na kupiga picha za kumbukumbu.
 
Afisa Habari huyu alishindwa kujizuiya na kujumuika na Msanii kucheza ngoma ya utamaduni wa nchi wakati wakiwa katika kutembelea kijiji hicho cha historia Beijing.

Afisa habari huyu akipata picha ya kumbukumbu na mtoto wa kichina aliyefuatana na mama yake

2 comments:

  1. Brother hapo hata bashasha imekushinda au ndio Saumu ilikuwa kali ?

    ReplyDelete
  2. Barother naona hii famili imekutoa sana nahuko china kumekufaa picha zote ulizo piga zimependeza sana

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.