Habari za Punde

Sala ya Eid ul Fitr Arusha

 Pichani juu na chini ni waumini wa dini ya kiislamu wakihitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wakiwa kwenye ibada ya swala ya Iddy el Fitry kwenye uwanja wa sheikh Amri Kaluta Abeid jijini Arusha.
 Pichani ni Sheikh wa mkoa wa Arusha Shaban bin Jumaa akitoa hutuba ya Idd kwa waumini wa dini ya kiislamu na kuwataka kudumisha amani na mshikamano miongoni mwa waumini wa dini nyingine ilikuweka katika hali ya utlivu mkoa wa Arusha ilikuweza kujiletea maendeleo endelevu kama mafungisho ya dini yanavyowataka(picha zote na mahmoud ahmad wa blog ya jamii arusha.)




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.