Habari za Punde

Semina ya Waandishi na Maofisa Habari wa Afrika Beijing China

PROFESSOR kutoka Beijing University of Post and Telecommunications, Prof. Sun Qiming.akitowa Mada kuhusiana na kuendelea na kukua kwa uchumi wa China wakati wa Semina ya Waandishi wa Habari na Maofisa Habari kutoka Nchi za Afrika zinazozungumza Kiingereza, semina hiyo ya wiki mbili inafanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya 21Century Beijing China.(Picha na Othman Maulid) 
 
 MAOFISA Habari na Waandishi wa Habari kutoka Nchi za Afrika wakiwa makini wakimsikiliza Professor Sun Qiming akitoa Mada yake kuhusiana na ukuaia wa Uchumi wa Nchi ya China, Semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli 21Century  mjini Beijing China.(Picha na Othma Maulid)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.