Habari za Punde

Waandishi watembelea Shirika la Habari la XINHUA NEWS AGENCY BEIJING

 
Bi. Li Mi akitowa maelezo ya moja ya gazeti linalochapishwa Nchini China wakati wakitembelea Ofisi za Xinhua Mjini Beijing China na kujionea maendeleo ya Shirika hilo.(Picha na Othman Maulid)
 
 WAANDISHI wakitembelea Ofisi za Shirika la Utangazaji la Xinhua mjini Beijing wakati wa ziara yao kutembelea shirika hilo na kujionea mafanikio ya utendaji wa kazi zake za kukusanya habari na kuzizambaza kwa Walengwa.(Picha na Othman Maulid) 
MOJA ya Chumba cha Habari la Xinhua mjini Beijing (Picha na Othman Maulid)
 
 
MKUU wa Kitengo cha Foreign Affairs  cha Xinhua News Agency Bi Li Mi. akizungumza na Maofisa Habari na Waandishi wa Habari kutoka Nchi 12 za Afrika zinazizungumza Kiingereza walipotembelea Shirika hilo Mjini Beijing wakati katika  ziara yao ya kimasomo nchini humo jumla ya Waandisdi na Maofisa habari 16 wanashiriki semina hiyo ya wiki mbili nchi China, inayofanyika katika ukumbi wa hoteli ya 21Century Beijing China.( Picha na Othman Maulid)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.