Habari za Punde

Vijana wa Mwembetanga wafutarisha Ramadhani ya 29


Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwenzi mtukufu wa Ramadhani ya 2014 Vijana wa Mwembetanga wa wamefanikiwa kuftarisha mwezi wa 29 kama wafanyavyo kila mwaka

  
Pichani: Soudi Shaaban akiwa na Mwanakamati Sadiki, katika maandalizi ya futari  ilioandaliwa na vijana wa Mwembetanga siku ya Jumapili July 27, 2014

Ahmed Masounda akiwa katika fatwa za maandalizi ya vyakula kwaajili ya waalikwa kabla ya sala ya maghari.

Vijana wa Mwembetanga wakiwa katika maandalizi kwaajili ya wageni walikwa 

Sharif Sayyd Ahmed Abdallah Shatry akiongea neno katika maandalizi ya futari iliyoandaliwa na na vijana wa Mwembetanga siku ya Jumapili July 27, 2014

 Walikwa wakiwa katika katika futari  ilioandaliwa na vijana wa Mwembetanga kwa karagosi

Ndugu jamaa na marafiki walipojumuika kwa pamoja kupata futari ilioandaliwa   vijana wa Mwembetanga siku ya Jumapili July 27, 2014





























2 comments:

  1. Unguja hiyo mara zote ustaarabu huanza visiwani na malaji hayo ya shokshok na tikiti maji fruit utaanza kuyaona unguja mwakani inshalah watayakopi watanganyika

    ReplyDelete
  2. Sifikiri kwa waislamu ku copy good things ni jambo baya.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.