Habari za Punde

Sala Ya Eid ul Fitr katika uwanja wa RaceCourse Northampton UK









Waislamu na wakaazi wa mji wa Northampton, Uingereza walijumuika kwa pamoja katika viwanja vya Racecourse Northampton katika kuhuisha Sunna ya Mtume wetu Swalla Allaahu 'Alayhi Wasaalam kwa kuisali Sala ya Eid katika kiwanja badala ya kuisali Msikitini.
 
Hii ni mara ya pili kwa Sala hii kusaliwa kwenye uwanja na waislamu wakaazi wa Northampton bila ya kujali wapi wanatoka walijumuika pamoja ambapo sala ya eid ilisaliwa saa 3.15 za Asubuhi.
 
 

2 comments:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.