Habari za Punde

Wizara ya Habari yafutarisha Gombani Pemba

 
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar, Mhe:Said Ali Mbarouk, wakwanza kushoto akiwaongoza wafanyakazi wa wizara yake na wananchi mbali mbali katika futari maalumu iliyoandaliwa na Wiazra ya Habari Pemba, iliyofanyika katika kiwanja cha michezo Gombani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
WANANCHI mbali mbali na wafanyakazi wa Wizara ya Habari Pemba, wakipata futari maalumu iliyoandaliwa na Wizara ya Habari Utamaduni na Utalii Pemba, iliyofanyika katika kiwanja cha michezo gombani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
AFISA mdhamini wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Pemba, Mhe:Ali Nassor Mohamed, katikati akitoa shukurani kwa wananchi na wafanyakazi wa wizara hiyo waliohudhuria futari iliyoandaliwa na wizara yake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
WAZIRI wa Habri Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar, Mhe:Said Ali Mbarouk, akizungumza na wananchi na wafanyakazi wa wizara yake waliohudhuria futari maalumu, Iliyoandaliwa na Wizara yake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.