Habari za Punde

Inapokaribia Skukuu na mambo ya mkwanja



WAKATI skukuu ya Idd El fitr ikiwa imekaribia wananchi na wafanyakazi mbali mbali, ambao wanapokelea mishahara yao Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) Tawi la Chake Chake Pemba, wakiwa katika foleni kusubiri kupatiwa huduma hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.