Waandishi wa Habari kutoka Nchi za Afrika
wakitembelea Mlima wa Jade Dragon ulioko nje ya mji wa lijiang China wakiwa katika ziara ya kimasoma Nchini China ilioandaliwa na Kituo cha
Taifa cha Habari Beijing
Waandishi wa Habari na Maofisa Habari kutoka
Nchi za Afrika wakiwa katika eneo la juu ya Mlima Dragon ulioko nje ya mji wa
lijiang China , wakati katika
ziara yao ya
kimasomo katika mji wa lijiang
Wananchi kutoka sehemu mbalimbali Nchini China wakiwa katika foleni ya kupanda mlima huo
kwa kutumia usafiri maalum ilikufika kileleni yam lima
huo ili kujionea mandhari ya eneo hilo .
Wananchi wengi wa ndani na nje ya China
hufika katika eneo hilo
na kutembelea na kupiga picha za kumbukumbu katika eneo hilo
WANANCHI wa China
hutumia Utalii wa ndani kutembelea sehemu mbalimbali za historia za China kama wanavyoonekana Wananchi hawa
wakiwasili katika eneo la viwanja vya Jade Dragon Mauntain kupanda mlima huo ulioko katika mji wa
Lijiang China
hivi karibuni
Waandishi wakiwa wamepozi kileleni mwa mlima huo, kutoka kulia Ndg. Abel Fayiah (Liberia)h Ndg. Sesay Alusine (Sierra Leone) Ndg Austine Jonathan (Nigeria) Ndg. Charles Manase (South Sudan) na Othman Maulid (Zanzibar) aliyesimama nyuma.
No comments:
Post a Comment