Habari za Punde

Dkt Shein Akutana na Balozi wa Uholanzi Ikulu Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo leo.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.