Habari za Punde

Michezo ya Majeshi Kati ya Tanzania na Ruwanda , Tanzaniaa Imeshinda 27-26


Mchezaji wa Basketi wa timu ya Ruanda akijaribu kuwapita wachezaji wa timu ya Tanzania wakati wa michezo ya Majeshi uliofanyika uwanja wa Gymkhana timu ya Tanzania imeshinda kwa vikapu 27-26.
Mchezaji wa timu ya Ruanda akijaribu kumpita mchezaji wa Tanzania katika mchezo wa basketi uliofanyika uwanja wa Gymkhana timu ya Tanzania ineshinda kwa vikapu 27--26. 
Mchezaji wa timu ya Tanzania akijiaanda kumpita mmlinzi wa timu ya Ruwanda katika michezo ya majeshi ya mchezo wa Basketi uliofanyika katika uwanja wa Gmykhana.Timu ya Jeshi Tanzania imeshinda kwa vikapu 27-26. 
Mchezaji wa timu ya Jeshi Tanzania akiwatoka wachezaji wa timu ya Jeshi Ruwanda katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa Gmykhana. 










No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.