Habari za Punde

Mahafali ya Pili ya Chuo cha Travel Port Zanzibar.

 Mwalimu wa Chuo cha Mafunzo ya Utumiaji wa Ukataji wa Tiketi kwa njia ya Kieletronik Ndg,  Ali Mussa Mohammed akitowa maelezo ya wahitimu wa Mafunzo hayo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Zenith Tour Zanzibar wakati wa sherehe za kukabidhi vyeti kwa wahitimu 12 wa mafunzo hayo iliofanyika katika ukumbi wa Chuo hicho Majestik leo.
 Muwakilishi Mkaazi wa Kampuni ya Travel Port Zanzibar maarufu kama Galileo Ndg. Rashid Ntalaluka, Akielezea mafanikio yanayopatikana kwa wahitimu wanaomaliza mafunzo hayo ya Galileo pia akatoa nasaha kwa wahitimu kuzitumia taaluma hizo kwa ufanisi zaid huko makazini
 Wahitimu wakiwa katika ukumbi wa mahafali ya 12 ya Chuo cha Travelport Majestik jumba la Zanlink.
Wahitimu wakimsikiliza mgeni rasmin akitowa nasaha zake kwao jinsi ya kwenda kutumia mafunzo hayo makazini kwao. 

Mkurugenzi wa Kampuni ya kutembeza watalii Zanzibar Zeinth. Ndg. Salum Mohammed akizungumza wakati wa mahafali hayo katika ukumbi wa Chuo hicho Majestik Zanzibar, na kutowa nasaha zake kwa wahitimu hayo. 


Mkurugenzi wa Kampuni ya Zeinth Ndg Suleiman Abdallah, ambaye ni mgeni rasmni katika mahafali hayo ya Chuo cha Travelport Zanzibar akizungumza wakati wa sherehe za mahafali hayo ya Pili ya chuo hicho yanayotowa Mafunzo ya Galileo ya utumiaji wa ukataji wa tiketi za ndege kwa njia ya kieltronic. jumla ya wahitimu 12 wamekabidhiwa vyeti vyao baada ya kumaliza mafunzo hayo. 

Mkurugenzi wa Kampuni ya Kutembeza Watalii Zanzibar Zeinth Ndg. Suleiman Abdallah, kulia akimkabidhi Cheti muhitimu wa mafunzo ya  kutowa huduma ya kukata tiketi kwa njia ya Kielitronic Ndg. Juma Abdallah. yanayotolewa na Chuo cha Travelport  Kituo cha Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kutembeza Watalii Zanzibar Zeinth Ndg. Suleiman Abdallah, kulia akimkabidhi Cheti muhitimu wa mafunzo ya  kutowa huduma ya kukata tiketi kwa njia ya Kielitronic Bi.Rukaiya Mohammed, yanayotolewa na Chuo cha Travelport  Kituo cha Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kutembeza Watalii Zanzibar Zeinth Ndg. Suleiman Abdallah, kulia akimkabidhi Cheti muhitimu wa mafunzo ya  kutowa huduma ya kukata tiketi kwa njia ya Kielitronic Bi Faudhia Ali  yanayotolewa na Chuo cha Travelport  Kituo cha Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kutembeza Watalii Zanzibar Zeinth Ndg. Suleiman Abdallah, kulia akimkabidhi Cheti muhitimu wa mafunzo ya  kutowa huduma ya kukata tiketi kwa njia ya Kielitronic Bi Salma Mohammed, yanayotolewa na Chuo cha Travelport  Kituo cha Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kutembeza Watalii Zanzibar Zeinth Ndg. Suleiman Abdallah, kulia akimkabidhi Cheti muhitimu wa mafunzo ya  kutowa huduma ya kukata tiketi kwa njia ya KielitronicBi Asya Vuai Haji, yanayotolewa na Chuo cha Travelport  Kituo cha Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kutembeza Watalii Zanzibar Zeinth Ndg. Suleiman Abdallah, kulia akimkabidhi Cheti muhitimu wa mafunzo ya  kutowa huduma ya kukata tiketi kwa njia ya Kielitronic Bi Nimaty Abdurahaman, yanayotolewa na Chuo cha Travelport  Kituo cha Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kutembeza Watalii Zanzibar Zeinth Ndg. Suleiman Abdallah, kulia akimkabidhi Cheti muhitimu wa mafunzo ya  kutowa huduma ya kukata tiketi kwa njia ya Kielitronic Bi Nairat Said yanayotolewa na Chuo cha Travelport  Kituo cha Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kutembeza Watalii Zanzibar Zeinth Ndg. Suleiman Abdallah, kulia akimkabidhi Cheti muhitimu wa mafunzo ya  kutowa huduma ya kukata tiketi kwa njia ya Kielitronic Ndg. Mahmoud Ahmeid, yanayotolewa na Chuo cha Travelport  Kituo cha Zanzibar


2 comments:

  1. Galileo wapo juu.... Travel agency wote wanatumia Galileo ktk shuguli zao. Naipenda sana. HATA TOUR OPERATOR WANATUMIA NA WANANUFAIKA NA GALILEO. NA OFFICE YANGU TUNANUFAIKA NA SYSTEM YA GALILEO KWA BOOKING ZA NDEGE.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tunashukuru kwa huduma nzuri zinazotolewa na Mr.Rashid. The best customer services.

      Delete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.