Habari za Punde

Mambo ya Doriani hayo Li Jian China


Mdau mambo ya madoriani ndani ya mji wa Li Jiang China, Mjasiriamali akiwa katika mtaa wa mji huo akisubiri wateja wa matunda hayo doriani moja huuzwa kwa fedha ya china shs 20/=  Mji Lijiang madoriani yakiwa kila mtaa wa mji huo yakiuzwa yakiwa katika kiwango kikubwa tafauti na ya kwetu kwa ukubwa wake

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.