Waajasiriamali wa biashara ya matunda aina ya
matikiti wakiwa katika eneo la michezani wakisubiri wateja wa matunda hayo,
tikiti moja linauzwa kati ya shilingi 1200/= na 3000/=, katika kipindi hichi matunda ya aina hii yamekuwa yakilimwa sana katika maeneo ya Zanzibar na kuifanya biashara hii kuwa kubwa kwa wakulima na mazao hayo.
PURA, ZPRA zajivunia miaka mitatu ya mashirikiano
-
Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) ya Tanzania Bara na
Mamlaka ya Uthibiti, Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta Zanzibar (ZPRA) ya
Zanzibar z...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment