Habari za Punde

Mtoto wa Mfalme wa Denmark Prince Joachim atimiza ahadi yake baada kuahidi Wakati alipofanya ziara Mtende


 Naibu Katibu Wizara ya Kilimo na Maliasi Zanzibar Ndg. Bakari  Saad Asaed, akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mtende Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa kukabidhi Vifaa vilivyotolewa na Mwana Mfalme wa Nchi ya Denmark Prince Joachim, wakati alipotembelea Skuli za Kijiji hicho na Msitu wa Mtende na kuahidi kusaidia Skuli ya Mtende na Kijiji hicho. 
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Zanzibar Ndg. Bakari Saad Asseid, akimkabidhi vifaambalimbali vilivyotolewa na Mtoto wa Mfalme wa Denmark, Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Mtende Skuli ya Mtende imekabidhiwa Computer 15,Printer moja, na Morden za Internet 15, kwa ajilinya Skuli hiyo kuweza kufundishia Wanafunzi katika masomo yao makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya skuli ya Mtende.leo 22/8/2014  
  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Zanzibar Ndg. Bakari Saad Asseid, akikabidhi na kutowa maelezo ya Vifaa walivyokabidhiwa kwa ajili ya matumizi ya Skuli hiyo ilioko katika Shehia ya Mtende Wilaya ya Kusini Unguja


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.