Habari za Punde

Rais Kikwete akiwa katika mkutano wa viongozi wa Afrika na Marekani , Washington leo


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama Julai 5, 2014
Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC leo Julai 6, 2014
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry anaelekeza namna ya kutumia kipaza sauti baada ya Rais Obama kufungua mkutano huo, wakati mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Rais Mohamed Ould Abdel Aziz alipoongea kwa niaba ya Viongozi wa Afrika
PICHA NA IKULU

1 comment:

  1. Mbona Dr. Shein. Raisi wa Zanzibar hatujamuona!!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.