Habari za Punde

Silaha alizokutwa nazo Mansour Yussuf Himid









Jumla ya Risasi 295 za Bastola ( Pistol) , marisau 112 ya bunduki ya Shortgun ( Gobore)  aliyokutwa nazo Mansour Yussuf Himid aliposachiwa kwenye nyumba yake

Bastola na aina ya Bunduki ya Gobore wakioneshwa waandishi wa habari ( hawapo pichani)

4 comments:

  1. Mhh risasi zote anamiliki bwamkubwa au ndio mwanamapinduzi lol

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndugu yangu ni kukumbushe miaka michache iliyopita kulikuwa na Kiumbe aitwae Jeneral Omar Mahita alifika mahali na ndani ya TV za Tanzania nzima m#na Ulimwengu ukashuhudia akisema kuwa silaha zile zilikuwa za wapizani ambazo wamengiza kutoka Nchi za nje Mmungu kama tunavyo mjuwa hupitisha Rehema zake sekude kubwa .Mahita alikjuja akabainika alikuwa alinunuwa magazri ya wizi na pia inasemekana alikuwa ndio master plan alipondoka katika waziza wake kenda kwao na kujenga Msikiti mkubwa hilo tumwachiye mwenywe Mmungu ,yuwache mahita hapa kwetu kuna Mmoja aliyejaliwa kupanda majukwaani na kusema anayo yakata kuna siku alikadiri kusema hakuna awezae kuijenga Nchi kwa siku mia akaendelea kusema hata Mmungu hawezi kufanya hivyo ,isipokuwa naimani atakubaliana nami kuwa Mmungu anauwezo wa kubomowa hata nusu sekude haifiki

      Delete
  2. siwezi kuamini hayo yote ni dhulma hao wanayoyafanya hayo kwa kuzushia watu wanafikiria wataishi ktk hii dunia milele. hawaogopi hata adhabu ya allah watarudi tu kwa subhana wataala na watakua hawana mtu wa kuwanusuru na adhabu ya allah. mansour subra inatokana na allah subiri hii yote ni jumla ya mutihani allah atakufanyia wepesi. na hao wote waliokudhalililisha kwa njia moja ama nyengine allah atawafedhehesha hapa dunuani

    ReplyDelete
  3. Kama kweli kwanini Wasituonyeshe wakati Wanasachi hapo nyumbani kwake na tukaona nini kimeonekana?

    Huu ni Usanii wa CCM UVC na Sefu Ali Iddi akisaidiwa na Wasanii wa Jeshi la Wananchi wa Tanganyika JWT ..Kutaka kumkomoa Mansoor asigombee jimbo la Kiembesamaki... Lila na Fila hazitangamani.. Tunawajua Polisi wa Zanzibar wote ni Watanganyika wana Tabia kama za Kiyahudi... Uongo na Kasumba kwao ni jambo la kawaida

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.