Habari za Punde

Waandishi watembelea Ofisi za Gazeti la Yunnan Mjini Yunnan, China

WAANDISHI wa habari wa Gazeti la Yunnan mjini Yunnan wakiwa katika chumba za habari wakitekeleza wajibu wao kukusanya habari kutoka seheme mbalimbali.(Picha na Othman Maulid)
Add caption
 WAANDISHI na Maofisa Habari wakitembelea Chumba cha Habari cha gazeti la Yannun Daily Paper, walipofika katika ofisi za gazeti hilo mjini Yunnan China leo kujionea jinsi ya utendazi wa kazi za habari zinazofanywa na gazeti hilo na kusambaza katika sehemu mbalimbali.(Picha na Othman Maulid)

 MTAMBO unootumika katika kazi za uchapisha magazeti ya Yunnan Daily.  (Picha na Othman Maulid)

  MAOFISA Habari na Waandishi wa Habari kutoka Nchi 12 za Afrika zinazozungumza Kiingereza wakipata Maelezo ya uendeshaji wa Gazeti la Yunnan Daily linalochapishwa Mjini Yunnan China kutoka kwa Deputy Cheif in Editor Ndg. Zhu Yi, walipofika kutembelea na kupata historia ya gazeti hilo wakiwa katika ziara yao mjini Yunnan,(Picha na Othman Maulid)
MAOFISA Habari na Waandishi wa Habari kutoka Nchi za Afrika zinazozungumza Kiingereza wakiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Gazeti la Yannun nje ya jengo la Ofisi hiyo Mjini Yunnan  China baada ya kutembelea Ofisi za Gazeti hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.