Habari za Punde

Dk.Shein Kukutana na Ujumbe Kutoka CUB

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Ufundishaji na Utafiti  katika Wizara ya Afya ya Jamii Cuba Dr.Marieta Cutino Redriguez akiongoza Ujumbe wa Viongozi wa Afya Kutoka Cuba walipokutana na Rais Ikulu Mjini  Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Ujumbe wa Viongozi wa Afya kutoka Cuba unaoongozwa Naibu Waziri wa Ufundishaji na Utafiti  katika Wizara ya Afya ya Jamii Cuba Dr.Marieta Cutino Redriguez akiwemo na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo walipokutana na Rais Ikulu Mjini  Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.