Habari za Punde

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAANDAA WARSHA YA KUPITIA SHERIA JUU YA MATUMIZI YA TUMBAKU

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma, akifungua warsha ya kupitia sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku Zanzibar iliyofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resourt Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Afisa kutoka Bodi ya Mapato Tanzania (TRA) akitoa mchango katika warsha ya kupitia sheria ya matumizi ya tumbako iliyofanyika Hotelini hapo. Kulia Mwenyekiti wa warsha hiyo Dkt Mohd Dahoma.
 Wajumbe wa warsha  ya kupitia sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku  wakifuatilia  sheria hiyo ilipowasilishwa  na Mwanasheria wa Wizara ya Afya Amina Jabir (hayupo picha).
Mshauri wa Ufundi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika William Onzivu akizungumza na washiriki wa warsha  hiyo (hawapo pichani) katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resourt.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

1 comment:

  1. As salaam alaykum. Nimepata matumaini kwa kupitia sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku mila naomba kwa Mantiki hiyo hiyo njema tupitie sheria inayohusu masuala ya pombe Zanzibar. Naomba sheria ikataze kabisa utumuaji pombe Zanzibar na hii inawezekana

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.