Habari za Punde

Jumuiya ya Istiqaamah for Development yatoa msaada kwa waislamu Chake Pemba

 Baadhi ya Sadaka iliyotolewa na Jumuiya ya  Istiqaama for Development kwa kushirikiana na ZCF,  Tawi la kusini pemba ,kwa Viongozi wa Dini ya Kiislamu Pemba.
Baadhi ya Viongozi wa Dini, Masheha ,Madiwani, na Waislamu wengine wakimskiliza Mwenyekiti wa Istiqaama for Development Tawi la Kusini Pemba, Sheikh , Moh'd Suleiman,wakati akisalimiana na Viongozi hao.

 Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Istiqaamah for development wakimsikiliza mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Sh Moh's Suleiman , hayupo pichani
 Mwenyekiti wa Istiqaama for Development na ZCF,Tawi la Kusini Pemba, Sheikh, Moh'd Suleiman ,akizungumza na Waislamu waliohudhuria katika hafla ya utowaji Sadaka huko Chake Chake Pemba
Mwenyekiti wa Istiqaama for Development ,na ZCF,   Tawi la Kusini Pemba, Sheikh Moh'd Suleiman , akimkabidhi Mtendaji kutoka Ofisi ya Mufti Pemba,Sheikh Abrahaman Abdalla , moja ya sehemu ya Sadaka
iliyotolewa na Jumuiya hizo
Picha zote na Bakar Mussa , Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.