Habari za Punde

Jumuiya ya Pegao yafanya mafunzo ya ushawishi na utetezi wa kijinsia kwa wanachama wake

 MWENYEKITI wa jumuiya ya Mazingira na Utetezi wa Kijinsia Kisiwani Pemba (PEGAO), Mauwa Makame Rajab akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wanachama wa jumuiya hiyo, juu ya Ushawishi na Utetezi wa kijinsia kwa wanachama hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.