Habari za Punde

Kamati ya Maafa Pemba yakutana kujadili hatari ya Ugonjwa wa Ebola

 
MWENYEKITI wa Kamati ya Maafa Kisiwani Pemba, katikati ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis Othaman, waliobakia ni wakuu wa wilaya za Pemba, wakisoma kipeperushi kinachoelezea kuhusu Ugonjwa wa Ebola, wakati kamati ya Maafa Pemba ilipokutana kisiwani Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali, wakiwemo maafisa wadhamini Kisiwani Pemba, makamanda wa vikosi mbali mbali vya ulinzi Pemba, waandishi wa habari wakipitia kwa makini kipeperushi kinachielezea ugonjwa wa Ebola, wakati kamati ya maafa pemba ilipokutana kisiwani Hapa. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe:Omar Khamis Othaman akisisitiza jambo katika kikao cha kamati ya maafa Pemba, wakati ilipokutana kwa lengo la kujadili mikakati ya kuchukuliwa dhidi ya Ugonjwa wa Ebola. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.