Habari za Punde

TACAIDS kuweka vituo vya kutoa elimu ya kujikinga na Ukimwi


Mratibu  wa  Programu maalum za Tume ya Kudhubiti  Maambukizi  ya  UKIMWI Tanzania  (TACAIDS)  Bw.Renatus  Kihongo (katikati  akiongea   na  Wanahabari kuhusu  uwekaji  wa vituo  vya  kutoa  elimu  ya kujikinga  na  maambukizi  ya  virusi  vya  Ukimwi    katika  vituo  vya  madereva  wa  magari  yanayosafiri  safari  ndefu.wa  kwanza  kutoka   kushoto   ni  Afisa  Habari wa  TACAIDS   Bwana  Godlease Malisa   na  wa  kwanza  kutoka   kushoto  ni  Bi. Nadhifa  Omar


Mratibu  wa  Programu maalum za Tume ya Kudhubiti  Maambukizi  ya  UKIMWI Tanzania  (TACAIDS)  Bw.Renatus  Kihongo (katikati  akiongea   na  Wanahabari kuhusu  uwekaji  wa vituo  vya  kutoa  elimu  ya kujikinga  na  maambukizi  ya  virusi  vya  Ukimwi    katika  vituo  vya  madereva  wa  magari  yanayosafiri  safari  ndefu.wa  kwanza  kushoto ni  Afisa  Habari wa  TACAIDS   Bwana  Godlease Malisa na  kwanza  kutoka   kushoto  ni  Bi. Nadhifa  Omar. (PICHA ZOTE NA BENJAMIN  SAWE).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.