VIPAJI vya aina
hii vya watoto, kuelekea kwenye upigaji wa ala na gita za muziki, vinafaa
kuungwa mkono na serikali kupitia wizara yake inayoshughilikia utamaduni, ambapo watoto wa kisiwa cha Kojani, wamekua
mstari wa mbele, kuacha kazi za uvuvi baadhi yao na kujaribu suala la upigaji
wa alaa na muziki kwa kutumia vifaa vya matumizi ya ndani (picha na Haji Nassor, Pemba)
TADB, BOT WAFUNGA MAFUNZO KWA WATAALAMU 52, KULETA TIJA KATIKA UTOAJI WA
MIKOPO YA KILIMO
-
Kaimu Mkurugenzi na Muendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
(TADB), Dkt. Kanael Nnko (wa pili kutoka kulia) akiwakabidhi vyeti wahitimu
...
2 hours ago
Mwandishi jaribu kuwa makini kidogo. Hivi kushajihisha vijana kama Hawa kuacha kazi ya kuvua na kuingia kwenye shughuli za upigaji Wa ala za muziki ndio umesaidia nini. Nilitaraji utatilia mkazo Wa kuwepo while ns kupata elimu ya kuendeleza maisha yao name taifa kwa ujumla
ReplyDelete