Habari za Punde

Ujenzi wa Barabara ya ndani Unguja Ukuu hadi Jendele

Barabara ya ndani ya Unguja Ukuu kupitia katika mabonde ya mpunga cheju hagi jendele ikiwa katika hatua zake za mwazo kuwekwa kifusi kama inavyoonekana picha barabara hii tayari imeshawekwa kifusi cha awali na kupigwa gred, hili ni eneo la Unguja Ukuu inakoazia barabara hiyo.ikiwa tayari imeshatandazwa kifusi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.