Habari za Punde

HAPPY TWO YEARS: Gold Zanzibar Beach Hotel Kendwa.

                               Gold Zanzibar Beach House & Spa
                           +255 779 700 005 - P.O.Box 1543 Kendwa
                                (North Coast ), Zanzibar, Tanzania
                                        www.goldzanzibar.com
Keki ya kusherehekea miaka miwi ya Hoteli ya Gold Zanzibar Beach Hotel Kendwa  ilioko Mkoa wa Kaskazini Unguja ikisherehekea miaka miwili tangu hoteli hiyo kufunguliwa na kutowa hutuma za kupokea Watalii wa daraja la Kwanza Zanzibar.
Wafanyakazi wa Hoteli ya Gold Zanzibar Beach Hotel wakiwa na keki yao wakisherehekea miaka miwili ya hoteli hiyo tangu kufunguliwa na kutowa huduma kwa Watalii wanaotembelea Zanzibar wakifurahia wakiwa na Keki yao katika ukumbi wa hafla hiyo iliofanyika katika hoteli hiyo na kuhudhuriwa na Wageni mbalimbali na Maofisa wa Sekta ya Utalii Zanzibar na Wamiliki wa Mahoteli ya Utalii Zanzibar.  
Mkurugenzi Mkuu wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach hotel kwenda Mr. Andrea Lottle, akizunguma katika hafla hiyo ya kutimia miaka miwili tangu kufunguliwa kwa hoteli hiyo na kutowa huduma ya kupokea watalii mbalimbali, ikiwa na daraja la Five Star.  

Mkurugenzi Mkuu wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach hotel kwenda Mr. Andrea Lottle, akizunguma katika hafla hiyo ya kutimia miaka miwili tangu kufunguliwa kwa hoteli hiyo na kutowa huduma ya kupokea watalii mbalimbali, ikiwa na daraja la Five Star.  
Mkurugenzi Mkuu wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach hotel kwenda Mr. Andrea Lottle akishirikiana na Wafanyakazi wa hoteli hiyo wakisherehekea kwa kuzima mshumaa kuadhimisha miaka miwili ya hoteli hiyo iliofanyika katika ukumbi wao Nungwi Kendwa. 
Mkurugenzi Mkuu wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach hotel kwenda Mr. Andrea Lottle, akikata keki kuashirika kusherehekea miaka miwili ya Hoteli yao tangu kufunguliwa na kutoka huduma za kupokea watalii wanaofika Zanzibar wakitokea Nchi mbalimbali. 

Wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo ya kusherehekea miaka miwili ya hoteli hiyo ilioko kwenda Unguja. 
Wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo wakimsikiliza mmoja wa mwalika Mr Roberto Campora akitowa burudani katika hafla hiyo ya kutimia miaka miwili ya hoteli ya Gold kendwa.
Wageni wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach wakipata picha za kumbukumbu ya hafla hiyo ya sherehe za kutimia miaka miwili ya hoteli hiyo iliofanyika katika ukumbi wake kendwa Zanzibar.
   Wageni wakipata msosi maalum wa kusherehekea miaka miwili ya hoteli Gold Zanzibar Beach.
       Mr Roberto Campora akitowa burudai ya moja ya wimbo wa kitaliono wakati wa hafla hiyo 
Waalikwa wakipata msosi katika hafla hiyo ya sherehe ya miaka miwili ya Hoteli ya Gold Zanzibar Beach 
Wapishi wakiwa katika harakati za kutowa huduma kwa wageni wao wakati wa hafla ya kusherehekea miaka miwili 
Mpishi Mkuu wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach akitowa huduma ya chakula kwa wageni wao kuhakikisha msosi uko safi kwa wageni wao katika sherehe za kutimia miaka miwili ya hoteli hiyo. 
Mambo ya nyama choma hayo 
Mstaaf wa Shirika la Utalii Ndg Walidi Fikirini ni mmoja wa mualikwa katika hafla hiyo akijipatia msosi
Mtayarishaji wa maonesho ya picha Mr. Neil Thomas katika hafla hiyo akitowa maelezo ya maonesho ya picha alizowasilisha katika kusherehekea miaka miwili ya hoteli hiyo kwa wageni waalikwa.
Wageni waalikwa wakimsikiliza mtyarishaji wa picha zilizokuwa katika maonesho hayo kukamilisha sherehe za miaka miwili ya hoteli ya Gold Zanzibar beach Mr Neil Thomas, akitowa maelezo ya picha zake kwa wageni waalikwa katika hafla hiyo.





Mwenyekiti wa jumuiya ZATINdg.Abdulsamad Said, akibadilishama mawazo wa Wadau wa sekta ya Utalii Zanzibar wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka miwili ya Hoteli ya Gold Zanzibar Beach Kendwa Zanzibar
Msanii wa kitaliano Antonela Mignlore akionesha sanaa za utamaduni wa kitalioano katika hafla hiyo ya kutimiza miaka miwili ya hoteli ya Gold Zanzibar Beach.
Msanii wa kitaliano Antonela Mignlore akionesha sanaa za utamaduni wa kitalioano katika hafla hiyo ya kutimiza miaka miwili ya hoteli ya Gold Zanzibar Beach.
Msanii wa kitaliano Antonela Mignlore akionesha sanaa za utamaduni wa kitalioano katika hafla hiyo ya kutimiza miaka miwili ya hoteli ya Gold Zanzibar Beach.


Wageni waalikwa na wamiliki wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka miwili ya hoteli hiyo 
Sales Maneger and Board of Owership Mr. Attilio Azzola, akiwa na wateja wake wakimoonesha picha za kumbukumbu waliopaga katika sherehe za kutimia miaka miwili ya hoteli hiyo ilioko kendwa Zanzibar Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mr,James C.Prevost, akibadilishana mawazo na wageni waalikwa katika hafla ya kutimia kwa miaka miwili ya hoteli ya Gold Zanzibar Beach Kendwa Zanzibar. 




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.