Habari za Punde

Jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Kaskazini Unguja.


 
Jengo la Kisasa kwa ajili ya kushughulikia kesi za Udhalilishaji wa Wanawake  kijinsia na Watoto, katika Mkoa wa Kaskazini Unguja hushughulikia kesi hizo zinazoripotiwa Polisi katika Kituo cha Polisi cha Mahonda na kufikishwa katika Dawati kwa uchunguzi na kufikishwa Mahakamani kwa kuchukuliwa Sheria kwa Wahalifu wa suala hilo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.