Habari za Punde

MAHAFALI YA 10 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai mara baada ya kuwasili  katika ya Kampasi ya Chuo Tunguu kufungua Mahfali ya 10 yaliyofanyika chuoni hapo leo Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Said Bakari Jecha (kushtoto) akifuatana na Viongozi akiwemo Mkuu wa Chuo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) wakati wa maandamano katika mahfali ya 10 ya Chuo Hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja 
Wajumbe wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano yaliyoandaliwa rasmi katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo ambapo mgeni rasmi akiwa .Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shei.

Baadhi ya walimu katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano  katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein.

Baadhi ya wanafunzi waliohitimu  mafunzo yao katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano  katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akifuatana na Makamu Mkuu wa Chuo Prof.Idriss Ahmada Rai baada ya kuyafunga  mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai,Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija  wakisimama  wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa  katika mahfali ya 10 ya Chuo  yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)alipokuwa akiwatunuku Vyeti,Stashahada na  Shahada  kwa wahitimu wa fani mbali mbali katika Mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Makamu Mkuu wa chuo Prof Idriss Ahamada Rai

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Najat Zahoro Said akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja

Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed akimpongeza mwanafunzi Najat Zahor Said kwa ufaulu wake mzuri katika masomo akiwa darasani katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakati wa mahfali ya 10 yaliyofayika chuoni hapo Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Ungaja leo ,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Hamad Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wamahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)  akitoa  hutuba yake katika mahfali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,
Mwanaidi Ali Faki na Ngano Suleiman Faki mbele ni wanafunzi waliohitimu mafunzo ya fani ya Kiswahili na Elimu wakiwa katika mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Tifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika viwanja vya kampasiya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya Sayansi na Elimu katika chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika mahfali ya 10 yaliyofayika chuoni hapo Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Ungaja  akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)

Wazee na Wtoto wa ambao wamefika katika viwanja vya mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakishuhudia wahitimu wanapotunukiwa Vyeti,Stashahada na Shahada na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) leo ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.