Habari za Punde

Meli ya MV Jitihada mkombozi wa Wafanyabiashara Zenj.

Meli ya MV Jitihada ikitoa huduma za kusafirisha mizigo ya wafanyabiashara kati ya Unguja, Pemba na Dar-es-Salaam, ikiwa katika bandari ya Unguja ikitokea Dar.
 
Meli hiyo imekuwa mkombozi kwa wafanyabiashara wa visiwa hivi kwa huduma yake bora na nafuu.
 
Meli hii imefanyiwa ukarabati mkubwa na cherezo ya Shirika la Bandari Zanzibar kilioko katika maeneo ya Malindi Funguni mjini Unguja.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.