Habari za Punde

Rais Kikwete atunuku nishani za miaka 50 ya Uhuru

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein (kutoka kushoto) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda wakiwa  hafla kutunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano iliyofanyika  viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Augustino Stephene Ramadhan katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Ali Salum Ahmed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Mohammed Fakih Mohammed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Amani Issack Abraham Sepetu kwa niaba ya Baba yake Issack Abraham Sepetu (marehemu) katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la tatu Ali Ameir Mohamed katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika  viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la nne Haji Machano  Haji  katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika  viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la nne Bibi Johari Yussufu Akida katika hafla kutunuku nishani iliyofanyika  viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.[Picha na Ikulu.]

1 comment:

  1. Jamani mambo mengine tuangalie vizuri, huu uvishwaji nishani kwa Bi JOhari naona haukukaa vizuri, mwanamke unapapaswa mbele za wa watu tena na mtu asiyestashiki, mbona katika haya hamsemi kwamba mnanyanyaswa?? au ndio kwa sababu Mambo ya Ikulu na mmeridhia??
    Kwanini isiwe tu kumpa mwenyewe (kwa wanawake) halafu mwenyewe akaiweka anapotaka kwa raha zake.
    Dunia hii wakifanya wakubwa si jambo wakifanya wengine eti huwa udhalilishaji. TAMWA mpo mbona hamyasemei haya au kwenu ni utukufu huu??

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.