Habari za Punde

Viongozi wa Wadi ya Makunduchi Watembelea Makumbusho ya Mji wa Sundsvall.

Katika kumbusho la Manispa ya Sundsvall kuna kinyago kinachoonyesha usambazaji wa habari ulivyokuwa enzi za enzi.
Magazeti yalisambazwa kwa baisikeli. Wasambazaji walivaa sare.
Askari wa magereza ws enzi za zamani akiwa ndani ya chumba cha wafungwa
Mwalimu Mussa Kinore akiangali choo kilichokuwa kinatumiwa na wafungwa wa Sundsvall enzi hizo za mababu na mabibi. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.