Kocha Mkuu wa Simba Goran akiwa na Msaidizi wake wa kikijadili jambo wakati wakisubiri mpambano wao na timu ya Mafunzo katika uwanja wa Amaan, jana jioni timu ya Simba imeshinda bao 1--0.
Kocha Mkuu wa Simba Goran akitowa maelekezo kwa mchezaji wake wakati wakifanya mazoezi mepesi kusubiri mchezo wao na timu ya Mafunzo uliofanyika uwanja wa Amaan.
Wachezaji wa timu ya Mafunzo wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Simba kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Amaan Zanzibar.
Kikosi cha timu ya Mafunzo kilichopambana na Kikosi cha timu ya Simba na kukubali kipigo cha bao 1--0.
Kikosi cha timu ya Simba kilichoipa kipigo timu ya Mafunzo katika michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya Mafunzo akimpita beki wa timu ya Simba wakati wa mchezo wao wa kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Simba imeshinda bao 1--0
Kizazaa golini kwa timu ya Mafunzo
Mshambuliaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Mafunzo na kupiga krosi lakini haikuzaa matunda
Jopo la Ufindi la Timu ya Simba likiongozwa na Kocha wake Mkuu Goran, wakifuatilia mchezo wao na timu ya Mafunzo katika michuano ya Kombe la Mapinduzi.inayofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mshambuliaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Mafunzo katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi zinazofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar
Mshambuliaji wa timu ya Simba kutoka Uganda Sserunkuma akiwa na mpira akimpita beki wa timu ya Mafunzo, katika mchezo huo timu ya Simba imeshinda bao 1--0.
Mshambuliaji wa timu ya Simba akiwapita mabeki wa timu ya Mafunzo.
No comments:
Post a Comment