Mshambuliaji wa timu ya Yanga Kpah Sharman kulia na beki wa timu ya JKU Pansiano Malik wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa robo fainali ya kombe la mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Andrey Coutinho, akipiga mpira golini kwa timu ya JKU, katika mchezo wao wa robo fainali uliofanyika uwanja wa Amaan.
Beki wa timu ya JKU, Issa Khaidary,akiondoa mpira huku mshambuliaji wa timu ya Coutinh, akijaribu kunyanganya mpiwa wakati wa mchezo wao wa robo fainali ya kombe la mapinduzi uliofanyika uwanja wa amaan. timu ya JKU imeshinda 1--0.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Kpah Sharman, akimpita beki wa timu ya JKU, Issa Khaidary. ikiwa wanawania kuingia Nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya JKU imefanikiwa kuingia nusu fainal baada ya kuifunga Yanga bao 1--0
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Sharman akimpita beki wa timu ya JKU katika mchezo wao wa Robo fainali ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya JKU imeshinda 1--0.
Mchezaji wa timu ya JKU Abdllah Waziri akimpita beki wa timu ya Yanga Oscar Joshua.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Saimon Msuva akiruka kjiunzi cha beki wa timu ya JKU akiwa chini.
Mmiliki wa Blog ya BinZubery kushoto akisisitiza jambo na Mwandisha wa gazeti la nipashe Sanula Athanas, wakati wa mchezo wa Yanga na JKU uliofanyika uwanja wa Amaan.
Golikipa wa timu ya JKU Mohammed Abdurahaman, akidaka mpira huku mshambuliaji wa timu ya Yanga Saimon Msuva akiwa jirani akinusa mpira huo.
Golikipa Mohammed Abdurahaman
No comments:
Post a Comment